Mshauri wa Ukoo wa Kivenule Ndugu Faustino Sigatambule Kivenule akifanya utambulisho wa Wanaukoo
Wanaukoo wakiwa makini kufuatilia Mkutano Mkuu wa 14 wa KAUKI
Hizi ni Tshirts zilizovaliwa na Wanaukoo katika Mkutano Mkuu wa 14 wa KAUKI - Kidamali Iringa
Wanaukoo katika picha wakati wa Mkutano
Wanaukoo wa katika picha wakati wa Mkutano MKuu wa 14 wa KAUKO
Baadhi ya Wanaukoo katika picha ya pamoja wakati wa mkutano wa KAUKI
Watoto toka familia mbalimbali za ukoo wa Kivenule wakitoa burudani wakati wa Mkutano Mkuu wa
14 wa KAUKI
Huduma ya chakula ikiendelea wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa KAUKI
Baadhi ya viongozi wa KAUKI wakiendelea na uratibu wa Mkutano Mkuu wa 14
wa KAUKI uliofanyika Kidamali - Iringa
Wanaukoo wakiwa makini kufuatilia Mkutano Mkuu wa 14 wa KAUKI