Mchakato wa Kuandaa Kitabu cha Chimbuko, Muundo na Historia ya Ukoo wa Kivenule na Uhehe kwa Ujumla

Mchakato wa Kuandaa Kitabu cha Chimbuko, Muundo na Historia ya Ukoo wa Kivenule na Uhehe kwa Ujumla
Karibu uone yale ambayo KAUKI inafanya

Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI, 2014

Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI, 2014
Chimbuko na Muundo wa Ukoo wa Kivenule (2005 - 2009)

Mkutano Mkuu wa10 wa KAUKI

Mkutano Mkuu wa10 wa KAUKI
Tangazo la Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI

Tuesday 28 August 2012

MZEE PONSIANO SIGATAMBULE TAVIMYENDA KIVENULE AFARIKI DUNIA


Marehemu Ponsiano Kivenule, wa kwanza kushotoSiku ya Ijumaa, ya tarehe 10 Agosti 2012, nyakati za asubuhi, ilikuwa ni siku ya ni masikitiko makubwa kwa Ukoo wa Kivenule, watoto na familia yake kwa ujumla, baada ya kupata taarifa ya kifo cha Mzee Ponsiano (Luhanage) Sigatambule, Tavimyenda Kivenule, kilichotokea katika Hospitali ya Misheni ya Ipamba, inamilikiwa na Kanisa Katoliki. Hospitali hiyo ipo njiani kuelekea Tosamaganga na Kalenga, Katika Wilaya ya Iringa Vijijini, Mkoani Iringa.

Historia yake ni ndefu, lakini kwa kifupi, Marehemu Ponsiano Kivenule alizaliwa yapata miaka 69 iliyopita huko Mlafu, Kijijini Kidamali. Katika uhai wake alifanya kazi kama Mwalimu na pia kama Bwana Mifugo. Pia katika uhai wake amekuwa akiishi Kijijini Kidamali huku akishirikiana na wenzake katika shughuli mbalimbali za maendeleo.

Baada ya kutokea kwa msiba huo, Uongozi wa Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI), kwa niaba ya Wana-KAUKI wote kutoka Kanda ya Kidamali, Magubike, Nduli, Irore, Mufindi na Dar es Salaam, na wanaukoo kwa ujumla, uliwatangazia taarifa hizo za Msiba Mkubwa wa Mzee Ponsiano Sigatambule Tavimyenda Kivenule.   

Pia taarifa hiyo, iliyotangazwa na Mwenyekiti wa KAUKI, ilisema Mazishi ya Marehemu yatafanyika Kijijini Kidamali, Siku ya Jumamosi ya tarehe 11 Agosti, 2012, katika Makaburi ya Mlafu, mnamo saa 7 mchana.

Marehemu Ponsiano Kivenule ameacha wake wanne na watoto. Pia kama Wana-KAUKI, tumeachiwa pengo ambalo haliwezi kuzibika kutokana na mchango wake mkubwa katika uanzilishi wa KAUKI na pia michango yake katika Mikutano mbalimbali ya KAUKI ambayo amekuwa akihudhuria.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amina.

Imeandaliwa na Kusambazwa na:
 

Adam Alphonce Kivenule

 

 

Monday 27 August 2012

Tagumtwa Foundation website/blog

MS. LILIAN IGNUS KIVENULE ENGAGED


MS. LILIAN IGNUS KIVENULE ENGAGED
Ms Lilian Ignus Kivenule
It was Sunday of 19th August 2012, when Lilian Ignus Kivenule found her way to marriage before starting new life out of a common family she used to live with since babyhood.

It was a marvellous and incredible evening, fully of joy associated with a small number of invitees witnessing the special and memorable events of paying bride price and engagement.

The formalization process started at 6:00 p.m. associating with paying the bride price from the anticipated companion, before wearing the engagement ring.

The Union of Kivenule Clan (KAUKI) wishes you all the best into your endeavour and expecting fantastic wedding ceremony at the end.

Once again KAUKI says, Congratulations Lilian Ignus Kivenule


Compiled by,

 
Adam Kivenule

MR. HUSSEIN TAVIMYENDA KIVENULE, A VETERAN SOLDIER FOUGHT THE SECOND WORLD WAR 1939 – 1945


MR. HUSSEIN TAVIMYENDA KIVENULE, A VETERAN SOLDIER FOUGHT THE SECOND WORLD WAR 1939 – 1945 ON THE SIDE OF ALLIED POWERS

Babu Hussein Tavimyenda Kivenule, A Second World War Veteran SoldierMr. Hussein Tavimyenda Kivenule is a Senior Veteran Soldier fought the Second World War on the Side of Allied Powers (British), in Burma, India, Europe and other British Colonies.

At the age of approximately 112 years now, Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule, has a fully memory and himself can give explanation fluently on all he knows about his participation during the Second World War; and the places where he participated in the battle against the Axis Powers led by German. Mr. Hussein insists that if he were on the side of the German, he would probably now dead.

Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule was born from a Kivenule Clan at Ulefi-Magubike, Iringa Rural District Western part of Iringa Town. He was the fifth Child in polygamy family of five children from the first wife (Ms. Mkami Sekabogo) of Tavimyenda Tagumtwa Kivenule. Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule married two wives, Ms. Yimilengeresa Semsisi and Ms. Dalika Setala and both lived in Mlafu area after shifting from Ulefi before now ni Magubike. Mr. Husein Tavimyenda Kivenule was blessed with a thirteen (13) children from two wives he had. The first wife blessed with 6 children and the second wife 7 children. Unfortunately, he has lost both two wives.

The Kivenule Clan has a great history specifically in ethic wars, being involved in various ethnic tribes’ wars in Iringa and beyond. The KIVENULE name itself is a reward. It was rewarded as a gift to TAGUMTWA because of his superiority power in targeting and killing his enemies by using spears and arrows, after taking a magical medicine which he believed increased the super natural power and protection. This medicine was taken before entering to the battle. The term, “KUVENULA” which sounded during the battle had a great implication and meant ‘devastating enemies by using spears and arrows with an aid of magical medicine’. Mr. Tagumtwa Balama was a war hero most of the time due to his impressiveness and marvellous performance in the battle field, and afterward he rewarded KIVENULE name, as a gift. Very unfortunately, his body was never recovered after dying in battle field.

Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule is very old now and had never tasted any fruitiness regarding his participation in the Second World War. As human being, we think now it is a time for him to be considered and at least start receiving the humanitarian aid and other privileges he deserves from the British government. As a human being, he had a focus on his life, also had many expectations for the services he offered to the British government especially his marvellous support which involved manhood power, intelligence and liveliness to make sure that they win the Second World War. Really, the Triple Entente won the Second World War.

The Union of Kivenule Clan for about 8 years have been observing this matter and doing various researches about the clan, and now is in the position to say that Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule, had never enjoyed or tasted any benefits from his participation to the Second World War. Also, The Union of Kivenule Clan has learnt that there are a lot of consequences which affects him before and now from his participation to the war. Some of the consequences include a loss of visual sight (blindness) facing his for the past 10 years now, which appears to be resulted by gunfire blast dusts. The Union of Kivenule Clan also resolves that Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule had many expectations after the war including getting adequate house; security on social services i.e. health insurance and assurance of his survival up to his death.

The Union of Kivenule Clan confesses to say that Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule is living miserable and deprived life (poverty line) at Magubike Village in Iringa Rural District. As an organization, we call upon concrete measures and high priority step forward to be taken by the British High Commission to address this potential issue of Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule on behalf of the government of the United Kingdom.

We leaders on behalf of the Union of Kivenule Clan, we are ready to conform, and offer all the cooperation and the support needed by the British High Commission in addressing this matter; together with carrying out all the logistics arrangements regarding visiting and meeting and conducting an interview; along with doing obligatory interventions with Mr. Hussein Tavimyenda Kivenule. Taarifa nyingine zinapatika kupitia: www.tagumtwa.blogoak.com

Compiled and prepared and issued by:

Adam Alphonce Kivenule

 

Karibu Katika Blog ya Adam Alphonce Kivenule



Adam Alphonce KivenuleBlogu hii imetengenezwa rasmi kwa ajili ya matumizi ya Adam Alphonce Sigatambule Kivenule ili kuujulisha umma wa Watanzania na wasio Watanzania, ndani na nje ya Tanzania, Bara la Africa na Ulimwengu kwa ujumla; kuhusiana na masuala mbalimbali ya maendeleo, siasa, utamaduni, jamii, uchumi na michezo.

Habari ambazo zitakuwa zinaandikwa katika Blogu hii hazichagui wala kumkandamizi mtu yeyote kwa mujibu wa rangi, kabila, jinsia, umri na mengine mengi.

Mimi binafsi ni Mzaliwa wa Mkoa wa Iringa. Kabila langu ni Mhehe na ninatoka kwenye ukoo wa Kivenule, ambao una historia kubwa hususani katika medeni ya vita. Ukoo wa Kivenule kama unavyofahamika na wengi, ulipatikana kama jina la sifa. Kwa asili ya Kivenule wote ni akina Balama.

Ninakaribisha maoni, mawazo ya kujenga na ushauri na mambo mengine mengi yenye nia ya kuboresha blogu hii. Pia angalia blog hii kwa taarifa za Tagumtwa: www.tagumtwa.blogoak.com

Natangulisha shukrani zangu,

Ndimi,
 

Adam Kivenule