USIPENDE KUTUMIA ALAMA ZA WHATSAPP BILA KUZIELEWA . HIZI NI BAADHI YA ALAMA ZA WHATSAPP NA MAANA YAKE:-
❤ pendo la moyoni
💋busu zito
💕pendo changa
👄busu la pozi
💗pendo linalostawi
💌siri ya mapenzi
🍓tunda la mahaba
💑marafiki wakongwe
💏marafiki vijana
💔mapenzi yamevunjika
💚pendo linalochipua
💜mahaba
💙nawapenda nyote
💛wivu
💞pendo lililoshikana
💖penzi lenye wivu
💢penzi njia panda
😄cheko
😊tabasamu pana
😉mkonyezo
😍nakupenda
😘busu la upendo
😚 busu
😜mzomeo
😝cheko mkoleo
😛cheko
😳mshangao
😁hasira
😔huzuni
😌tabasamu la huzuni
😣hasira za kipole
😂cheko mkoleo wa mchozi
😭kilio
😪majonzi
😫kilio cha kelele
😱mzomeo
😡hasira kavu
😋tamaa
😷kimya
😎kipofu
😲miayo
😏dharau
🙈aibu
👍 vizuri
👎si vizuri
👌msuto
👊 ngumi
✊tano
✌Amani
👋kibao
✋Jambo
👐 kukana
👆juu
👇chini
👉mbele
👈nyuma
🙌 jisalimishe
🙏amen,asante
👏makofi
💪msuli
🏃mbio
👫mimi na wewe
🙆 Mungu Wangu
👀mchungulio
Natumai mmeelimika. Elimisha wenzio ili tutukuze Kiswahili katika jamii.
Ahsanteni.