|
RATIBA YA MKUTANO
MKUU WA 14 WA UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)-KIDAMALI - IRINGA
|
|
Siku ya Kwanza: JUMAMOSI 21 JUNI
2024
|
|
MUDA
|
SHUGHULI/JUKUMU
|
MHUSIKA
|
|
12.00-01.00 Asb.
|
Kuamka na Kujiandaa
|
Ndugu/Wanaukoo Wote
|
|
01.00-02.00
|
Kupata Kifungua Kinywa (Chai/Kahawa/Uji)
|
·
Ndugu Wote
·
Kamati ya Maandalizi
|
|
02:00-02:50
|
1.
Kukaribisha Wageni
2.
Kujisajili/Orodhesha
Washiriki
3.
Kuwapa Vitambulisho
|
·
Kamati ya Maandalizi
·
Washiriki Wote
|
|
02:50-02:55
|
Dua/Sala ya Kuombea Mkutano
|
·
Viongozi wa Dini
|
|
02:55-03:00
|
Salaam toka Kanda ya Kidamali: Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu 14 wa
KAUKI
|
·
Mwakilishi Kanda ya Kidamali
|
|
03.00–03.05
|
Neno fupi la Kumkaribisha na Kumtambulisha Mgeni Rasmi
|
·
Mwenyekiti wa KAUKI
|
|
03.05-03.25
|
Hotuba ya Ufunguzi
wa Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI
|
·
Mgeni Rasmi
|
|
03.25-04.00
|
Utambulisho wa Ndugu na Wageni Waalikuwa
|
·
Mwenyekiti-KAUKI
·
Washiriki Wote
|
|
04.00-05:00
|
MADA: Chimbuko/Asili Na Historia Ya Ukoo Wa Kivenule
1.
Mjadala: Muundo wa Ukoo wa Ukoo wa Kivenule (Nakala Zisambazwe)
|
·
Mtoa Mada
·
Viongozi-KAUKI
·
Washiriki wote
|
|
05:00-05:30
|
Pumziko la Chai / Kahawa/Maji
|
Washiriki Wote
|
|
05.30-07.00
Mchana
|
Mada Inaendelea…
2.
Namna ya Kuiboresha Mada: Mapendekezo
3.
Nini kifanyike kutunza kumbukumbu za Ukoo
4.
Njia Mbadala za Kutunza Taarifa za Ukoo
|
·
Viongozi-KAUKI
·
Wawezeshaji
·
Washiriki wote
|
|
Majumuisho
|
·
Viongozi wa KAUKI
|
|
07.00-08.00
|
CHAKULA CHA MCHANA
|
Washiriki wote
|
|
08:00-08:40
|
UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KANDA
Nafasi:
1.
Mwenyekiti na Makamu
Mwenyekiti
2.
Katibu na Naibu Katibu
3.
Mweka Hazina/ Walezi wa
Kanda, Wahamasishaji
|
1. Kanda ya DAR
2. Kidamali/Magubike
3. Kalenga/Irore
4. Nduli/Morogoro
5.
Dodoma/Mafinga
|
|
08.40 – 09.20
Alasiri
|
Maendeleo ya KAUKI Katika Kanda:
1.
Hamasa, Mafanikio
2.
Changamoto na Mikakati
|
·
Viongozi wa Kanda
·
Ndugu toka Kanda Husika
|
|
9:20 – 9:45
|
Hali ya Ukoo/KAUKI: Maendeleo kwa Ujumla;Changamoto;Ushauri na
Mapendekezo
|
·
Viongozi wa KAUKI
·
Wanaukoo Wote
|
|
09:45-10:00
|
Salaam mbalimbali kwenye
Mkutano Mkuu 14 wa KAUKI (Wastani watu 6 @ dakika 2)
|
·
Washiriki wa Mkutano
|
|
10.00-10.45
Jioni
|
Kuahirisha
Mkutano hadi
Siku ya Jumapili tarehe 21 Juni 2025
|
·
Mwenyekiti – KAUKI
·
Washiriki Wote
|
|
02:00 - 06:00
Usiku
|
NDUGU KUJUMUIKA PAMOJA (KAUKI NIGHT GALA)
kwa ajili ya Vinywaji na Nyama Choma
|
Ndugu Wote
Kamati ya Maandalizi
|