| Makamu Mwenyekiti wa KAUKI Bi. Gloria Xavery Kivenule akiongea na Wanaukoo katika Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI, Kijijini Kidamali - Iringa |
| Mwenyekiti wa KAUKI Ndugu Onesmo Bernard Kivenule akiwa na Watoto wa Ukoo wa Kivenule waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI |
| Wanaukoo wa Kivenule wakiwa katika picha ya pamoja kusuburi kuanza kwa Mkutano wa KAUKI. Hii ilikuwa ni siku ya pili ya mkutano huo. |
| Baadhi ya Wanaukoo kutoka Kanda ya Magubike wakiwa wanajiandaa kuhudhuria Mkutano wa 13 wa KAUKI |
| Wanaukoo wakiwa katika Usiku Maalum wa KAUKI katika Ukumbi wa Justin Kivenule. Hii ilikuwa ni siku ya kwanza ya Mkutano wa 13 wa KAUKI |
| Mzee William Sigatambule Kivenule akitoa nasaha zake wakati wa Usiku Maalum wa KAUKI, Kidamali Iringa (2024) |
| Wanaukoo wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano - Kidamali Iringa |
| Moja ya Tshirt zilizovaliwa katika Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI |
Safi sana Wana Ukoo wa Kivenule kwa juhudi zenu
ReplyDelete