
Habari ambazo zitakuwa zinaandikwa katika Blogu hii hazichagui wala kumkandamizi mtu yeyote kwa mujibu wa rangi, kabila, jinsia, umri na mengine mengi.
Mimi binafsi ni Mzaliwa wa Mkoa wa Iringa. Kabila langu ni Mhehe na ninatoka kwenye ukoo wa Kivenule, ambao una historia kubwa hususani katika medeni ya vita. Ukoo wa Kivenule kama unavyofahamika na wengi, ulipatikana kama jina la sifa. Kwa asili ya Kivenule wote ni akina Balama.
Ninakaribisha maoni, mawazo ya kujenga na ushauri na mambo mengine mengi yenye nia ya kuboresha blogu hii. Pia angalia blog hii kwa taarifa za Tagumtwa: www.tagumtwa.blogoak.com
Natangulisha shukrani zangu,
Ndimi,
Adam Kivenule
No comments:
Post a Comment