Ndugu Mwinuka (kushoto) na Ndugu Adam Kivenule (kulia) |
ADAM KIVENULE BLOG: For information call +255 713 270364 E-mail: kivenule@gmail.com Blog: http://www.adamkivenule.blogspot.com Twitter: http://www.twitter.com/kivenule Youtube: http://www.youtube.com/tagumtwa KIVENULE CLAN BLOGS: http://www.tagumtwa.blogoak.com http://www.kauki-kauki.blogspot.com E-mail: KAUKI2006@gmail.com or tagumtwa@gmail.com
Friday, 18 December 2015
SALAAM ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 11 WA UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)
Adam Kivenule, Katibu Mkuu-KAUKI |
Wednesday, 16 December 2015
KUMBUKUMBU YA MAHAFALI YA KUAGANA WABUNGE MWAKA 2015
Zifuatazo ni picha za kumbukumbu katika mahafali hayo:
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika ngazi za ukumbi wa mikutano wa Auditorium |
Mhe. Mwinuka na Ndugu Kivenule katika picha ya pamoja |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzao |
aheshimiwa Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzao |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzao katika ngazi za ukumbi wa Auditorium |
Waheshimiwa Wabunge wakiingia ukumbini |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa Morogoro Road |
Mhe. Mwinuka na Kivenule wakitoka jengo la Utawala wa Chuo hicho |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wenzao |
MATUKIO YA KUKUMBUKANA NA BAADHI YA WANACHUO WENZANGU
Waheshimiwa Wabunge wakiwa wamesimama mbele ya Ukumbi uliopo katika Library ya Chuo hicho. |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa na Mgeni Rasmi, Mhe. Mwadili wa Chuo (aliyechuchuma na baadhi ya wabunge) katika bustani ya Chuo |
Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika picha ya pamoja, katika garden ya Chuo |
Waheshimiwa Wabunge: Kutoka kushoto ni Emanuel Sulle, Jose Mniko (Spika) nyuma, tatu nyuma, Mwinuka, Rajabu, David, Adam Kivenule, Malunguja na James |
Waheshimiwa Wabunge wakiongozana na Mgeni Rasmi (Mwadili wa Wananchuo) kuingia katika ukumbi wa sherehe |
Wednesday, 2 December 2015
Kuhusu UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)
Kuhusu UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)
FASILI YA KAUKI
KAUKI ni Umoja wa Ukoo wa Kivenule, ulioanzishwa rasmi mwaka 2005, kukabiliana na changamoto mbalimbali za maendeleo, zinazoikabili jamii inayounda umoja huu; hususani katika kujikwamua na ugumu wa maisha na pia kutumia fursa zinazopatikana ili kukabiliana na kuondokana na wimbi la umaskini, ujinga, maradhi na utegemezi.
Kuanzishwa kwa KAUKI kuliambatana na maandalizi yaliyojumuisha mikutano zaidi ya 10 ya mashauriano iliyofanyika sehemu mbalimbali Jijini Dar es Salaam na Kidamali, Iringa.
Dira ya KAUKI
Kuwa na jamii elewa, angavu na inayowajibika kwa kujitegemea.
Maono ya KAUKI
Kujengeana uwezo kwa kutumia raslimali, stadi, ujuzi, maarifa na weledi, kupitia mafunzo, kongamano, mijadala na mikutano ili kuboresha maisha.
Malengo ya KAUKI
Lengo Kuu
Kuinua na kuboresha maisha ya wanaukoo wa Kivenule, kielimu, kiuchumi na kisayansi kwa kutumia ujuzi, maarifa na raslimali zinazotunguka.
--
P.O. Box 3255,
Dar es Salaam
Mob. +255 713 270364
E-mail: kivenule@gmail.com / KAUKI2006@gmail.com
Blog: www.adamkivenule.blogspot.com
Twitter: www.twitter.com/kivenule