Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI) kwa niaba ya Familia ya Edgar Sigatambule Kivenule wa Kibamba, Dar es Salaam, wanatangaza kifo cha ndugu yetu Stewart Edgar Kivenule kilichotokea Mkoani Dodoma, usiku wa kuamkia tarehe 04 Septemba 2023 kwa ajali ya gari.
Mazishi
ya Marehemu Stewart Edgar Kivenule yamefanyika Kijijini Kidamali, Mkoani Iringa
tarehe 7 Septemba 2023.
Ukoo
wa Kivenule unawapa pole ndugu, jamaa na marafiki ya Familia ya Edgar Kivenule
na Steward Kivenule.
Mungu
Aiweke Roho yake Mahali Pema Peponi, Amina.
Apumzike kwa Amani na mwanga wa milele amwangazie..Mungu azidi kuwapa nguvu na faraja familiya katka kipindi hiki kigum kwao.
ReplyDeleteAsante kwa pole. Amen
ReplyDelete