Barabara nyingi ambazo zimepitia katika maeneo ya miinuko na milima mikubwa zimekuwa katika mazingira ya kuchangia ajali nyingi tofauti tunavyofikiri. Ajali hizi baadhi yao zinachangiwa na mazingira halisi ya Jiografia ya maeneo husika. Kwa mfano, kwenye kingo za bonde la ufa kumekuwa na tatizo kubwa la ujenzi wa miundo kama ilivyo katika milima ya Kitongo, Senkenge, Salanda, Wami, Nyang'olo na Lukumbulo. Kutokana na hali hiyo, barabara zimekuwa na kona na miteremko mikali ambayo mara nyingi husababisha madereva kushindwa kuyamudu magari yao baada ya mifumo ya breki kupata hitilafu. Zifuatazo ni baadhi ya picha zilizopigwa katika barabara ya Tunduma kwenda Mbeya.
ADAM KIVENULE BLOG: For information call +255 713 270364 E-mail: kivenule@gmail.com Blog: http://www.adamkivenule.blogspot.com Twitter: http://www.twitter.com/kivenule Youtube: http://www.youtube.com/tagumtwa KIVENULE CLAN BLOGS: http://www.tagumtwa.blogoak.com http://www.kauki-kauki.blogspot.com E-mail: KAUKI2006@gmail.com or tagumtwa@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment