RATIBA YA MKUTANO MKUU WA
Siku ya | ||
Muda | Shughuli/Jukumu | Wahusika |
12.00 – 12.45 | Wageni Wote Kuamka na Kufanya Maandalizi ya Kuingia kwenye Mkutano | Wote |
12.45 – 01.15 | Kupata Kifungua Kinywa | Washiriki wote |
01:15 – 02:00 | Kuwasili Mkutanoni na Kujisajili na kupata vitambulisho | Washiriki wote |
02.00 – 02.20 | Kusoma Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa KAUKI | Mwenyekiti wa KAUKI |
02.20-02.45 | Ufunguzi Rasmi wa Mkutano na Mgeni Rasmi | Mgeni Rasmi |
02.45-03.15 | Utambulisho baina wa Ndugu na Wageni Waalikuwa | Wote |
03.15 – 04:00 | Mada: CHIMBUKO NA HISTORIA YA UKOO WA KIVENULE (a). Washiriki wasambaziwe nakala ya muundo wa Ukoo na kisha kuujadili na kutoa mawazo yao katika makundi | Mwakilishi toka Kidamali Mwakilishi toka Ilole mwakilishi toka Nduli Washiriki wote |
04:00– 04:30 | Pumziko la Chai / Kahawa/Maji | Washiriki Wote |
04.30-04.45 | Mada Inaendelea. (b). Washiriki waijadili mada na kutoa mapendekezo (c). Washiriki waijadili mada na kupendekeza nini kifanyike kutunza kumbukumbu hizo (d). Washiriki wazijadili njia mbadala za kutunza taarifa zinazohusiana na ukoo | Wawezeshaji na Washiriki wote |
04.45-05.05 | Kuwasilisha majadiliano katika Makundi | Washiriki wote na Wawezeshaji |
05.05-05.30 | Majumuisho ya yote yaliyojitokeza katika Mada | Wawezeshaji |
05:30 – 06:30 | TAARIFA YA UTENDAJI WA KAUKI: 1. Mipango na Shughuli zilizokusudiwa kufanywa na KAUKI 2009/2010; 2. Taarifa ya Utendaji kwa Ujumla; 3. Taarifa ya Mahesabu na Fedha; na 1. Mafanikio na Matatizo ya KAUKI 4. Matarajio ya KAUKI 2010/2011 | Katibu Mkuu Mhasibu |
06.30 – 07.00 | TAARIFA YA SHUGHULI ZA MAENDELEO KATIKA KANDA 1. Uhamasishaji 2. Mwitikio wa Jamii inayounda Ukoo 3. Ushirikiano miongoni mwa wanajamii 4. Mafanikio na Matatizo | Viongozi wa Kanda zote |
07.00-08.00 | CHAKULA CHA MCHANA | Washiriki wote |
8:00 – 8:45 | KUSOMA RIPOTI YA MKUTANO MKUU WA SITA WA KAUKI Kujadili Mapungufu, Kutoa Ushauri, Nyongeza Kupitisha Ripoti | Katibu Msaidizi Washiriki wote |
08:45 – 09:15 | Salaam mbalimbali kutoka kwa Washiriki wa Mkutano Mkuu (Wastani watu 6 na dakika @ 5) | Washiriki wa Mkutano |
09:15– 09:45 | Pumziko la Chai/Kahawa/Maji | Washiriki wote |
09.45 -11:00 | UZOEFU WA WANAUKOO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO 1.Kidamali/Magubike: Kilimo cha Nyanya /Tumbaku na shughuli nyingine za kiuchumi dakika 25 2. Irole/Nduli/Itagutwa/Mgongo: Uzoefu wa Shughuli za Kiuchumi dakika 25 3. Dar/ Morogoro/ Kilombero / Moshi dakika 15 4. Kalenga, Ifunda, Ilala Simba, Wasa, Idodi na Nyamihuu | Washiriki wote; viongozi wa Kanda au wajumbe watakaochaguliwa kutoa uzoefu wa shughuli hizo za kiuchumi |
11.00 | KUAHIRISHA MKUTANO | Mwenyekiti wa KAUKI |
2:30 – 6:30 Usiku | Burudani (Muziki wa Kisasa na Ngoma za Asili), vinywaji, kufahamiana zaidi na kubadilisha mawazo | Wanaukoo wote |
Siku ya Pili ya Mkutano Mkuu – Igowole: Tarehe 26 Juni 2011 | ||
Muda | Shughuli/Jukumu | Wahusika |
12.00 – 12.45 | Wageni Wote Kuamka na Kufanya Maandalizi ya Kuingia kwenye Mkutano | Wote |
12.45 – 01.15 | Kupata Kifungua Kinywa | Washiriki wote |
01:15 – 02:00 | Kuwasili Mkutanoni na Kujisajili | Washiriki wote |
02.00-02.45 | MADA: CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI KAUKI KUJILETEA MAENDELEO 1. Nini kifanyike kwa wana-KAUKI kujiletea Maendeleo? 2. Mnadhani ni vitu gani vipewe Kipaumbele kwa wanaukoo kunufaika na KAUKI! 3. Baadhi ya Malengo ya KAUKI ambayo mnayafahamu mnadhani yatasaidia kuleta mabadiliko? Na ni kwa namna gani? Jadili 4. KAUKI ni sehemu tu ya vikundi vingi vinavyofanya jitihada za kujiinua kiuchumi na kimaendeleo, mnadhani ni changamoto gani tunaipata ukilinganisha na mafanikio au matatizo ambayo yamevipata vikundi vingine? Yajadili na kuyatoa mapendekezo hayo | Wawezeshaji na washiriki wote |
02.45-03.15 | Majadiliano katika Makundi : Kila mshiriki ajidiliane na wana kundi kikamilifu na kutoa hoja za msingi za kujenga. Kila hoja ya msingi iwasilishwe ila kila mwanaukoo asikie. | Washiriki wote wagawanyike katika makundi |
03.15-03.45 | Makundi kuwasilisha hoja kutoka katika makundi yao | Washiriki wote |
03.45-04.30 | Majumuisho ya yote yaliyojitekeza katika Mada | Wawezeshaji |
04:30 – 05:00 | Pumziko la Chai / Kahawa/Maji | Washiriki Wote |
05.00-06.00 | MAJADILIANO YA HOJA MBALIMBALI AMBAZO ZIMEWASIISHWA NA WASHIRIKI WA MKUTANONI | Washiriki wote na Viongozi wa KAUKI |
06.00-07.00 | MAHITAJI YA KAUKI NA JINSI YA KUFANIKISHA KUPATIKANA KWA MAHITAJI HAYO: Huu ni mjadala wa jumla na kila mjumbe wa mkutano anashiriki moja kwa moja kutoa mawazo yake. Katibu na watendaji wengine wa KAUKI wana jukumu ya kuyanakili maswali na majibu yote kwa ajili ya kufanyiwa kazi | Washiriki na Viongozi wa KAUKI |
07.00-08.00 | CHAKULA CHA MCHANA | Washiriki wote |
08:00–09.00 | HISTORIA YA WAHEHE 1. Kuibuka kwa tawala mbalimbali ndani ya Uhehe (Wanitole, Wahabeshi, Wangazija) 2. Chimbuko la Koo mbalimbali mkoani Iringa 3. Mahusiano yaliyopo baina ya koo zilizoibuka wakati wa vita za kikabila na wageni 4. Mgawanyiko wa Koo katika Mkoa wa Iringa | 1. Mwl. 2. Ndg. Adam Kivenule 3. 4. |
09:00–09:30 | Pumziko la Chai/Kahawa/Maji | Washiriki wote |
09.30-11:00 | 1. MAJUMUISHO NA TATHMINI YA MKUTANO 2. MIPANGO NA MIKAKATI YA MBELENI 3. KUTANGAZWA KWA TAREHE YA MKUTANO MKUU WA 4. SHUKRANI 5. KUFUNGA MKUTANO | VIONGOZI WA KAUKI NA Washiriki wa Mkutano Mkuu |
No comments:
Post a Comment