Mchakato wa Kuandaa Kitabu cha Chimbuko, Muundo na Historia ya Ukoo wa Kivenule na Uhehe kwa Ujumla

Mchakato wa Kuandaa Kitabu cha Chimbuko, Muundo na Historia ya Ukoo wa Kivenule na Uhehe kwa Ujumla
Karibu uone yale ambayo KAUKI inafanya

Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI, 2014

Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI, 2014
Chimbuko na Muundo wa Ukoo wa Kivenule (2005 - 2009)

Mkutano Mkuu wa10 wa KAUKI

Mkutano Mkuu wa10 wa KAUKI
Tangazo la Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI

Monday 28 January 2013

POLE LULU

POLE LULU NA MAISHA YA MAHABUSU
Si maisha mazuri, ila inabidi kuyaishi kwa mujibu wa sheria.

Msanii maarufu hapa nchi Lulu, kweli ameteseka toka pale alikumbwa na maswahibu ya kuhusishwa na kifo cha Msanii Maarufu hapa nchini Steven Kanumba. Lulu (Elizabert Michael) bado haijathibitika kama kweli alimwua Kanumba bali yupo katika mapito ya kuupata ukweli huo

Blogu yetu inakupa pole kwa yote yaliyokupata na Mungu atakusaidia zaidi kama ilivyotokea leo ukapata dhamana. Hii ni dunia na hayo ni mapito yake. Yavumilie.

Tunakutakia kila la kheri Uraiani utakakokuwa kwani naamini utasumbuliwa na umati wa watu ambao utakuwa unakuja kukusalimu na kukupa pole. Mtangulize Mola wako Siku zote za Uhai wako.

Lulu akiwa katika picha za matukio mbalimbali katika maisha.







 





 

Amina.

No comments:

Post a Comment